last posts

PELE: EDSON ARANTES DO NASCIMENTO (PELE) ANAUZA ZAWADI ZAKE ZOTE

 PELE: EDSON ARANTES DO NASCIMENTO (PELE) ANAUZA ZAWADI ZAKE ZOTE

Pele akiwa na kombe la Jules Rimet

Nyota wa mpira wa miguu duniani, Pele, ameamua kuuza zawadi zake zote ambazo amezipata toka aanza kucheza mpira...

Habari hii ni yakushangaza mashabiki na wapenzi wake lakini kwa sasa hali yake ya afya sio nzuri na pia anataka watu wawe na kumbukumbu ya vitu vyake na sio vikaeu ti bila watu kupata nafasi ya kuwa karibu navyo.

Zawadi alizopewa toka aanze kucheza mpira ni nyingi sana kwa mfano, Passport yake, Kombe la Jules Rimet ambalo alitengenezewa special, jezi aliyovaa mwaka 1970 alivyoshinda World Cup, njumu zilizovaliwa kwenye movie 'Escape to Victory', gold medals zote 3 alizoshinda World Cup na vitu vingine vingii tu vitapigwa mnada

Mauzo ya vitu hivyo yatafanyika jijini London mwezi wa 6...Kampuni itayosimamia mnada huo ji Julien's Auctions ya Beverly Hill's...Bofya hapa upate habari zaidi.

Comments



Font Size
+
16
-
lines height
+
2
-